Channel zako zote, kwa ombi moja la API.
Jisajili kwa namba ya simu, lipia kifurushi kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au Halopesa, kisha upate MPD link, token na ClearKey papo hapo malipo yakithibitishwa.
API Key binafsi. Malipo yanathibitishwa na seva, si browser.
{
"count": 2,
"channels": [
{
"channel": "Channel One",
"slug": "channel-one",
"mpd_url": "https://…/manifest.mpd?token=…",
"clearkey": "KID:KEY",
"expires_at": "2026-01-01T12:00:00Z"
},
{ "channel": "Channel Two", … }
]
}
Unachopata kwenye akaunti yako
Kila kitu cha kusimamia ufikiaji wako wa API kiko mahali pamoja.
API Key binafsi
Key yako ni yako peke yako. Unaweza kuibadilisha au kuifuta wakati wowote.
Endpoint kwa kila channel
Kila channel ina jina na namba yake, na kuna endpoint moja ya kupata zote kwa pamoja.
Malipo ya simu
Unapokea ombi la PIN kwenye simu. Malipo yakithibitishwa, key yako inawaka mara moja.
Vifurushi vya muda
Siku, wiki au mwezi. Ukilipia kabla kifurushi hakijaisha, muda unaongezwa.
Historia ya matumizi
Ona kila ombi la API: lililofanikiwa, lililoshindwa, na saa lilipofanyika.
Inafanyaje kazi
Hatua nne kutoka kujisajili hadi kupata data.
Jisajili
Jina, namba ya simu na password. Unapata API Key yako.
Chagua kifurushi
Angalia bei na muda wa kila kifurushi kwenye dashboard.
Lipia kwa simu
Thibitisha kwa PIN. Malipo yakikamilika, key inawaka.
Tumia API
Tuma X-API-Key kwenye GET /api/v1/amiri/{jina}.